
AZAM FC KUKIPIGA NA COASTAL, KIINGILIO JEZI
NOVEMBA 27,2022 Azam FC itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Coastal Union. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Katika mchezo huo kiingilio ni uzi wa Azam FC kwa yule ambaye hana jezi hiyo akifika uwanjani watafanya mazungumzo kujua shughuli inakwendaje. Azam FC imekuwa kwenye mwendo mzuri msimu huu…