
HATARI YA CHAMA IPO NAMNA HII
KINARA wa pasi za mwisho ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Clatous Chama ana hatari kila baada ya dakika 104 akiwa uwanjani. Ni mabao matatu katupia kibindoni akiwa ametoa jumla ya pasi 9 anafuatiwa na Ayoub Lyanga wa Azam FC ambaye ametoa pasi 7 na katupia bao moja. Simba ikiwa imetupia mabao 37 baada ya…