ROBERTINHO APATA DAWA YA RAJA CASABLANCA
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia kuwa hataingia kivingine kimbinu watakapovaana dhidi ya Raja Casablanca ya nchini Morocco. Hiyo ni baada ya kuanza vibaya hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa ugenini dhidi ya Horoya AC ya nchini Guinea wakifungwa bao 1-0. Jumamosi…