KOCHA SINGIDA BIG STARS KUFANYIA KAZI MAKOSA

KOCHA Mkuu wa Singida Big Stars Hans Pluijm amesema kuwa makosa ambayo wamefanya kwenye mchezo dhidi ya Ihefu watafanyia kazi kwa mechi zijazo. Februari 12 2023 Singida Big Stars ilitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 dhidi ya Ihefu kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Highland Estate.  Pluijm amesema kuwa walikuwa wanahitaji pointi tatu kwenye mchezo huo…

Read More

YANGA KUTUA DAR

MSAFARA wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Februari 14 unatarajiwa kuwasili Dar. Wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika walikuwa nchini Tunisia kwa ajili ya dakika 90 dhidi ya US Monastir. Ubao ulisoma US Monastir 2-0 Yanga hivyo wanarejea wakiwa na hasira kuelekea kwenye mchezo ujao dhidi ya…

Read More

SIMBA NDANI YA ARDHI YA TANZANIA

MSAFARA wa Simba umewasili salama Dar ukitokea nchini Guinea ulipokuwa kwa ajili ya kazi ya kuiwakilisha nchi kimataifa. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kikosi hicho kilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Horoya kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi na kuyeyusha pointi tatu. Kazi kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao ujao ambao…

Read More

WANANCHI WAANZA SAFARI KUIWAHI TP MAZEMBE

BAADA ya kete ya kwanza kukamilika huku wakipoteza mchezo wao kikosi cha Yanga kimeanza safari kurejea Dar. Wawakilishi hao kwenye Kombe la Shirikisho Afrika walikamilisha dakika 90 na ubao ukasoma US Monastir 2-0 Yanga. Msafara wa wachezaji na benchi la ufundi unatarajiwa kuwasili nchini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao ujao dhidi ya TP…

Read More

KIUNGO HUYU MGUMU AIPASUA KICHWA SIMBA

BALAA zito kwenye benchi la ufundi la Simba wakitoka kuyeyusha pointi tatu katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika watakosa huduma ya kiungo wao mgumu Sadio Kanoute. Kazi kubwa itakuwa kwa benchi la ufundi kupasua kichwa kuamua wataanza na yupi kati ya Ismail Sawadogo, Mzamiru Yassin ama Jonas Mkude ikiwa atakuwa fiti. Kanoute alionyeshwa kadi…

Read More

NAFASI ZA DHAHABU ZITUMIKE KWA UMAKINI KIMATAIFA

IMEKUWA ni mwanzo mbaya kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye anga za kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo mchezo wa kwanza imepoteza dhidi ya Horoya. Simba ambao wapo kundi C walikuwa wana kazi ugenini dhidi ya Horoya ambao nao walikuwa wanahitaji matokeo na tumeona namna ilivyokuwa hasa kwenye matumizi ya nafasi. Katika anga la kimataifa…

Read More

SIMBA KURUDI DAR

BAADA ya kupoteza katika mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya Horoya ya Guinea Kwa kutunguliwa 1-0 msafara wa kikosi cha Simba unatarajiwa kurejea leo Dar. Ni mastaa 24 ikiwa ni makipa watatu Aishi Manula, Beno Kakolanya na Ally Salim kwa upande wa mabeki ni Shomari Kapombe, Israel Mwenda, Gadiel Michael, Mohamed Hussein, Henock Inonga,…

Read More

KIMATAIFA YANGA YAPOTEZA MBELE YA US MONASTIR

WAKIWA ugenini nchini Tunisia wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wamepoteza mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi. Dakika 90 ubao wa Uwanja wa Olympic Rades umesoma US Monastir 2-0 Yanga. Pointi tatu zimeyeyuka mazima ugenini kwa Yanga ambayo ilifanikiwa kwenye umiliki wa mpira muda wote huku wapinzani wao wakimaliza kazi ndani ya…

Read More