
SIMBA TAYARI KUIKABILI HOROYA KIMATAIFA
JUMA Mgunda,kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa maandalizi yote kuhusu mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya ya Guinea yamekamilika. Leo wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wanakibarua cha kusaka pointi tatu ugenini mchezo wa hatua ya makundi ambao ni wa kwanza kila timu. Mgunda ameweka wazi kuwa wanatambua ushindani…