
MUDA BADO GARI HALIJAWAKA
MSIMU wake wa kwanza akiwa na Yanga baada ya kusajiliwa kwenye dirisha dogo akiwa ni mchezaji huru. Kiungo Muadhathir Yahaya ameweka wazi kuwa bado hajafikia kwenye uwezo anaofikiria licha ya kupata nafasi za kucheza kwenye mechi za ushindani. Nyota huyo ameingia jumlajumla kikosi cha kwanza cha Yanga kwenye eneo la kiungo mkabaji akionesha makeke yake…