Home Sports YANGA YAITEMBEZEA KICHAPO TP MAZEMBE KIMATAIFA

YANGA YAITEMBEZEA KICHAPO TP MAZEMBE KIMATAIFA

YANGA imesepa na pointi tatu mazima kwenye mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya TP Mazembe.

Ikiwa Uwanja wa Mkapa ubao umesoma Yanga 3-1 TP Mazembe kwenye mchezo wa pili hatua ya makundi kimataifa.

Ni Kennedy Musonda alifungua ukurasa wa mabao dakika ya 6 kamba ya pili Mudhathir Yahaya ile ya tatu mali ya Tuisila Kisinda dakika ya 90.

Kwa TP Mazembe ambao wamekutana na balaa la Yanga leo bao lao la kufutia machozi ni mali ya Alex Gonga ilikuwa dakika ya 80

Previous articleAZAM FC HAINA PRESHA NA SIMBA
Next articleSIMBA YAOMBA RADHI KWA MATOKEO MABOVU