
SUPER SUNDAY IWE SUPER KWELI,HESABU ZA YANGA HIZI HAPA
WANASEMA mwili haujengwi kwa mawe bali ugali na mbonga majani zile za kutoka shambani, ikitokea umekwama kuingia shambani basi tarajia kukosa kuujenga mwili. Weka kando hayo kuna shamba la ushindi ambalo wengi wanatarajia kuliona leo ndani ya dakika 90, Uwanja wa Mkapa ambapo Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya TP Mazembe. Ikumbukwe…