
KMC KWENYE KIBARUA KINGINE TENA
IKIWA imefungashiwa virago kwenye Kombe la Azam Sports Federation ubao wa Uwanja wa Manungu uliposoma Mtibwa Sugar 1-0 KMC kuna kibarua kingine kizito kinawakabili. KMC chini ya Kocha Hitimana Thiery haijawa na mwendo mzuri kwenye mechi zake za ligi na sasa matumaini ya kutwaa taji la Azam Sports Federation yameyeyuka baada ya kuondolewa hatua ya…