
MUSONDA AANZA MATIZI YANGA
JEMBE jipya la Yanga Kennedy Musonda limeanza matizi ndani ya kikosi kwa ajili ya maandalizi ya mechi za msimu wa 2022/23. Nyota huyo ametambulishwa rasmi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Ilikuwa ni Januari 13 nyota huyo ambaye ni mshambuliaji alitambulishwa na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said. Raia huyo wa…