
YANGA NI NAMBA MOJA SHIRIKISHO AFRIKA
YANGA ni vinara wa kundi D katika Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ubao wa Uwanja wa TP Mazembe kusoma TP Mazembe 0-1 Yanga. Bao la ushindi ni mali ya Farid Mussa huku kipa Metacha Mnata ikiwa ni mchezo wake wa kwanza anga za kimataifa akikamilisha dakika zote 90 bila kutunguliwa. US Monastir ushindi wao…