
AZAM FC KUPASHA MISULI NA KMC
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanatarajia kumenyana na KMC Uwanja wa Azam Complex kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC kesho Machi 27. Timu hiyo imepoteza vigezo vya kutwaa ubingwa wa ligi baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Ihefu na kugotea na pointi zao 47. Mkononi wana kete tano kukamilisha mzunguko wa pili ambapo…