
CONTE KASEPA NA KAKA YAKE SPURS
KOCHA Antonio Conte ameripotiwa kutoa baraka zake kwa wakufunzi wake kusalia Tottenham Hotspur – lakini kaka yake Gianluca anatazamiwa kumfuata kwenye safari ya kuondoka klabuni hapo. Muitaliano huyo hatimaye anaondoka Spurs kwa makubaliano ya pande zote kufuatia kutoa maneno ya kejeli dhidi ya wachezaji wake baada ya sare ya mabao 3-3 dhidi ya Southampton mapema…