
KINZUMBI WA TP MAZEMBE ATAJA SABABU 3 ZA KUSAINI YANGA
WINGA msumbufu wa TP Mazembe, Phillipe Kinzumbi ameweka wazi kuwa ameamua kukubali kumwaga wino Yanga kutokana na mambo matatu makubwa ambayo yamemvutia ndani ya timu hiyo. Nyota huyo usajili wake unatajwa kumalizwa na vigogo wa Yanga ambao walienda nchini DR Congo kwenye mechi ya marudiano kati ya Yanga na TP Mazembe ambayo ilipigwa Uwanja wa…