SIMBA MIKONONI MWA MABINGWA CAF

WAKIWA na hesabu za kuvaana na Ihefu kesho mchezo wa Khatua ya robo fainali Azam Sports Fedration wameshatambua kigongo watakachokutana nacho kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni Wydad Athletic Club hawa watamenyana na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali. Baada ya droo kuchezwa nchini Misri tayari Simba…

Read More

SLOTI YA VENI VIDI VICI INAKUPA USHINDI MARA 1000

Sub-Heading: Aprili ya Kishua unaambiwaje jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza sloti ya kasino ya mtandaoni. Kujisajili bonyeza hapa: https://a.meridianbet.co.tz/c/srILsF Furahia sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Meridianbet Veni Vidi Vici! Ikiwa unafurahia michezo inayoelezea mambo ya kale, Meridianbet kasino ya mtandaoni wana zawadi…

Read More

SIMBA MACHO YOTE KWA IHEFU

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa yaliyotoea Morocco yote ni somo kwao na sasa macho yao ni kwenye mchezo wao dhidi ya Ihefu ambao ni wa robo fainali Azam Sports Federation. Simba imetoka kufunga kete ya sita hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mohamed V ukisoma Raja Casablanca 3-1…

Read More

MBILI ZA KAGERA MOJA TAMU MOJA CHUNGU

MWAMBA Anuari Jabir amepata dili a kwenda kufanya majaribio kwa muda wa siku 14 kutoka Klabu ya Ligi Kuu ya Ubelgiji (Pro League Belgium) Jumatatu ya Aprili 3 aliwasili salama Ubegiji kwa kwa ajili ya majaribio ya kuchezea timu hiyo na mipango ikienda sawa anaweza kumwaga wino huko. Jabir ni chaguo la kwanza la Kocha…

Read More

MWENDO WA TP MAZEMBE NA YANGA WALIKIMBIZANA KWELI

NJE ndani TP Mazembe kaacha pointi tatutatu mbele ya Yanga walipokutana kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi wote wakiwa kundi D. Yanga wamekamilisha mechi ya sita wakiwa wanaongoza kundi na kibindoni wana pointi 13, hapa tunakuletea kazi ilivyokuwa Uwanja wa TP Mazembe:- Lenny Junior Kipa huyu aliokoa hatari dakika ya 6,14,15…

Read More

CHAMPIONSHIP NI YETU SOTE INATUHUSU

USHINDANI uliopo ndani ya Championship ikiwa ni mzunguko wa 25 unazidi kuleta raha ya kuifuatilia na kuona namna gani kila mmoja anavuna kile alichopanda. Kila timu inapambana kwa nafasi yake kutafuta ushindi kwa kuwa hakuna timu inayopenda kubaki pale ambapo ipo kwa muda mrefu ukizingatia kwamba kupanda daraja ni mafanikio. Uendeshaji wake ulivyo na namna…

Read More

MGUNDA AKABIDHIWA SHOO YA NABI

MABOSI wa Simba wameshtukia jambo zito baada tu ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufanya mabadiliko ya haraka kwa kuamua kumkabidhi timu kocha msaidizi ya timu hiyo, Juma Mgunda kuelekea katika mchezo dhidi ya Yanga inayoonolewa Nasreddine Nabi raia wa Tunisia. Simba imefanya mabadiliko hayo ya ndani baada ya…

Read More