
VIDEO:MWAMBA MANDONGA ATANGAZA NGUMI MPYA
MWAMBA Mandonga atangaza ngumi mpya, kutetema kama kawaida
MWAMBA Mandonga atangaza ngumi mpya, kutetema kama kawaida
CLIFORD Ndimbo, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) amesema utaratibu wa kuingia kwa mashabiki Uwanja wa Mkapa utaanza saa sita kamili. Leo timu ya Taifa ya Tanzania ina kiarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Uganda ambao ni wa kuwania kufuzu Afcon. Kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Misri uba ulisoma Uganda 0-1…
Nabi aingiza winga Mali, Stars:Tupo tayari kuimaliza Uganda ndani ya Spoti Xtra Jumanne
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Uganda, Emanuel Okwi ameweka wazi kuwa kesho watapambana kupata matokeo dhidi ya Tanzania. Uganda ipo Bongo ikiwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Stars kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 Ivory Coast. Katika mchezo uliochezwa Misri, ubao ulisoma Uganda 0-1 Tanzania huku bao likifungwa na Simon Msuva….
JAMBO la nchi, utapenda Ahmed Ally Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ali Kamwe, Ofisa Habari Yanga na Cliford Ndimbo, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kilichoipa nguvu timu hiyo na kuongoza kundi mbele ya Waarabu wa Tunisia, US Monastri ni umakini wa wachezaji wote pamoja na ushirikiano. Timu hiyo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika inaongoza kundi D na mchezo wake uliopita iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 US Monastri kete yao inayofuatwa…
UPENDO ni bora zaidi kwenye ulimwengu wa mpira kwa kuwa unatuunganisha pamoja popote ambapo tupo na hivyo ni muhimu kwa wale ambao wanacheza kuwa makini. Muda huu kuna baadhi ya wachezaji wapo kwenye mapumziko kutokana na timu za taifa kuwa na kazi kwenye kuwania tiketi ya kufuzu Afcon. Hii ipo wazi lakini wapo wachezaji ambao…
SIMON Msuva winga wa Stars amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya Uganda kesho na watapambana kupata ushindi kwenye mchezo huo wa kuwania kufuzu Afcon 2023
HEMED Morocco, kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kuongezeka kwa wachezaji katika kikosi hicho kunaongeza upana wa kuchagua kikosi kitakachoanza dhidi ya Uganda. Ni Mohamed Hussein na Shomari Kapombe hawa wameongezwa katika timu ya Tanzania inayofanya maandalizi ya mwisho kuikabili Uganda. Ni kesho Uwanja wa Mkapa saa 2:00 usiku…
Sub-heading: Jisajili Meridianbet na upate mizunguko 50 ya bure ya kasino ya mtandaoni! Bonyeza hapa kujisajili https://a.meridianbet.co.tz/c/srILsF Huenda wewe ukawa sehemu ya washindi wakubwa kila siku kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, pata bonasi kibao na ushindi mkubwa mara 1000 ya dau lako uliloweka kutoka sloti ya FoxPot Fahamu Kuhusu Sloti ya Foxpot Kutoka kasino…
WAKATI mzuri kuendeleza mazuri ambayo mlifanya kwenye mchezo uliopita ugenini mkiwa na mashabiki wenu ni sasa kwa wachezaji wa Stars . Hakika kushinda ugenini ni ushindi mkubwa mbele ya mashabiki wao waliokuwa nao hapo unadhani wao watakuwa wanahitaji nini kama sio ushindi? Wamepata ugumu walipokuwa nyumbani sasa wanakuja ugenini wakihitaji kurejea na furaha hivyo ni…
Simba yawafuata Waarabu kininja, Morrison kamili kuimaliza Simba ndani ya Championi Jumatatu
Duka la kubetia la nne kwa mwezi huu Machi limezinduliwa hii leo na Meridianbet wababe wa masuala ya ubashiri Tanzania wakiwa na kile ambacho mteja unakihitaji kwa muda wowte ule. Lakini pia unaweza kuchagua machaguo si chini ya elfu moja hapa hapa Meridianbet. Wakati ligi mbalimbali duniani zikiwa zimesimama kwaajili ya kupisha michauno mbalimbali kama…
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wallace Karia amesema wachezaji wawili wazoefu kwenye timu ya Taifa ya Tanzania Shomari Kapombe na Mohamed Hussein wameongezwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania. Hiyo ikiwa ni baada ya timu ya Stars kukamilisha mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya Uganda na kuibuka na ushindi wa bao 1-0….
NGOMA ni nzito kwa makocha wawili wa mitaa ya Kariakoo, Robeto Oliveira wa Simba na Nasreddine Nabi wa Yanga kwenye anga za kimataifa kutokana na kila mmoja kutusua na wachezaji wake kwenye anga la utupiaji. Ni wale wa Simba wanaongoza kumsimamisha Rob ambapo ni mara 9 alinyanyuka kwenye benchi kufurahia mabao yaliyozamishwa kimiani. Mwamba wa…
Sloti ya Forest Rock Kasino ya mtandaoni inakurudisha nyuma kwenye zama za kale, zama zile ambazo tulikua tunakaa chini tukiota moto huku masikio yetu yakisindikizwa na simulizi nzuri za mababu na mabibi zetu. Fikiria yule Sungura mjanja aliyekua akimsumbua Fisi kila siku, Simba aliyesifika kuwa ni mbabe wa nyika, Tembo mnyama mkubwa Zaidi…