
BALEKE, MAYELE WAINGIA KWENYE VITA HII NGUMU
MITAMBO ya mabao kwenye timu zenye ngome pale Kariakoo, Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira na Yanga inayonolewa na Nasreddine Nabi wameingia kwenye vita nyingine kimataifa. Ni ile ya kupambania timu zao kutinga hatua ya nusu fainali kwenye mashindano ya kimataifa ambayo wanashiriki kwa kukamilisha dakika 90 za ushindi kwenye mechi za robo fainali….