KIMATAIFA HAKUNA MWENYE KAZI NYEPESI,KUJITUMA MUHIMU

SIO Simba wala Yanga kwenye anga za kimataifa hakuna mwenye kazi nyepesi kutokana na mechi zao wote kuwa ngumu katika hatua ya robo fainali. Kwa mashabiki wakati huu lazima kuungana na kufanya kazi moja kushangalia timu zao huku wachezaji nao akili zao zikiwa kwenye mechi uwanjani. Kwenye hatua za robo fainali ambacho kinaangaliwa ni ushindi mechi zote…

Read More

MICHEZO Ligi Mbalimbali Za Kukupatia Pesa Wikendi Hii Unaanzaje Wikendi Yako?

Ligi mbalimbali Duniani kuendelea wikendi hii huku kila timu ikihitaji kusaka pointi 3 muhimu ili kusalia kwenye ligi, wengine wakipambania Ubingwa na wengine wakipambani kusalia kwenye ligi. EPL, Bundesliga, NBC, Serie A, Laliga Ligue 1 hizo ni zile kubwa duniani lakini pia kuna zingine kutoka nchini mbalimbali zitapigwa. Ligi ya Ufaransa Ligue 1 itaendelea wikendi…

Read More

SIMBA WAPANIA KUFANYA KWELI KWA MKAPA

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na MawasilianoSimba amesema wataushangaza ulimwengu kwa kuwapelekea moto wapinzani wao Wydad Casablanca kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira inatarajiwa kusaka ushindi kwenye mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.  Ally amesema kuwa wamekuwa na muda mzuri kufanya maandalizi kwa mchezo…

Read More

CHEZA MERIDIANBET KASINO USHINDE TSH 2,500,000/=

Shindano hili linakuletea furaha na zawadi bomba kutoka kwa Mascot na Meridianbet kasino ya mtandaoni! Shindano la Spring Mascot linafanyika kuanzia tarehe 21 hadi 27 Aprili kupitia kasino ya mtandaoni ambapo litakupa sababu halisi ya kwa nini Spring ni msimu mzuri zaidi. Furahia michezo iliyochaguliwa na shindania mgao wako wa TZS 2,500,000. JUMLA YA ALAMA…

Read More

SEVILLA HAO NUSU FAINALI

KLABU ya Sevilla imetinga hatua ya nusu fainali Europa League kwa jumla ya ushindi wa mabao 5-2 Manchester United. Katika mchezo wa robo fainali wa pili wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Manchester United uliochezwa Aprili 20. Mabao ya Sevilla yalifungwa na Youssef En Nesyri ambaye alipachika mawili dakika ya 8,81 na moja…

Read More

CITY YATINGA NUSU FAINALI UEFA

MANCHESTER City inatinga hatua ya nusu fainali UEFA Champions League kwa jumla ya ushindi wa mabao 1-4. Katika mchezo wa robo fainali uliochezwa Allianz Arena ubao ulisoma Bayern Munich 1-1 City. City ilianza kupata ushindi kupitia kwa Erling Haaland dakika ya 57. Ni Joshua Kimmich dakika ya 83 alipachika bao katika mchezo huo kwa pigo…

Read More

MAYELE, MUSONDA WAPEWA MAAGIZO MAALUM YANGA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema washambuliaji wake ikiwa ni Fiston Mayele na Kennedy Musonda wanapaswa kuongeza umakini kwenye kutumia nafasi wanazopata ili kufunga mabao mengi. Yanga ni vinara wa Ligi Kuu Bara msimu huu, kibindoni wana pointi 68 baada ya kucheza mechi 26, tofauti ya pointi tano na watani zao wa jadi Simba…

Read More

KUKATA UMEME MZAMIRU SAWA LAKINI AFYA MUHIMU

LICHA ya kazi kubwa ambayo aliifanya Mzamiru Yassin kwenye Kariakoo Dabi kuna faulo za hatari alizicheza mtindo wa nge kwa nyota Fiston Mayele. Hakika Mayele kuna wakati aliomba poo na alikasirika kwelikweli kutokana na kuchezewa faulo na kiungo Mzamiru. Ile iliyompa maumivu makubwa ilichezwa dakika ya 46 na Mzamiru wakati akiokoa hatari kuelekea kwenye lango…

Read More

AKILI ZA SIMBA NI KWA WAARABU WYDAD

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari amesema kuwa kwa sasa ambacho wanakifikiria ni ushindi dhidi ya Wydad  ambao ni hatua ya robo fainali. Tayari wapinzani hao wamewasili Tanzania Aprili 19 wakiwa kamili kwa ajili ya mchezo huo ambao utachezwa Uwanja wa Mkapa, Jumamosi. “Hakuna jambo lingine lolote tunaweza kuwaza kwa sasa zaidi ya kumfunga…

Read More