
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
INJINIA Hersi Said, Rais wa Yanga amesema kuwa watandoka na ndege maalumu leo Juni 5 kuelekea Mbeya ikiwa imelipiwa na Serikali. Yanga baada ya kufika fainali na kumaiza kwa ushindi dhidi ya USM Alger licha ya kushindwa kutwaa ubingwa walicheza mchezo wa ushindani katika kusaka nafasi ya kutwaa ubingwa lakini malengo hayakutimia. Kutokana na hayo…
BERNARD Morrison kiungo wa Yanga ameivuruga rekodi yake aliyoiweka akiwa ndani ya Simba kwa kuandika rekodi nyingine ndani ya Ligi Kuu Bara. Rekodi zinaonyesha kuwa Morrison alipokuwa ndani ya Simba alipogotea kwenye dakika 699 alifunga bao moja na kutengeneza pasi mbili za mabao huku akiwa ndani ya Yanga akiwa amepukutusha dakika 692 katupia mabao matatu…
SIMBA yavunja mkataba na kiungo wa kazi raia wa Ghana ambaye amefunga mabao manne ndani ya Ligi Kuu Bara 2022/23 Miongoni mwa timu ambazo amezifunga ni pamoja na Yanga kwenye mchezo wa Kariakoo dabi.
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa wachezaji wake wana kazi kwenye mechi mbili zilizobaki kupata matokeo mazuri. Yanga imetwaa ubingwa ikiwa na pointi 74 baada ya kucheza mechi 28 kwenye ligi na imepoteza mechi mbili pekee dhidi ya Ihefu na Simba. Mechi mbili ambazo zimebaki ni dhidi ya Mbeya City inayotarajiwa kuchezwa juni…
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ni wakati wa mabeki wa timu hiyo kuongeza umakini na kutimiza majukumu kwa wakati kwenye mechi watakazocheza. Ipo wazi kwamba Simba imepishana na ubingwa wa ligi ambao upo mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Yanga pia imecheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika wakigotea…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utarejea kwenye mashindano ya kimataifa wakati mwingine ukiwa imara zaidi. Timu hiyo kutoka Tanzania imeandika rekodi nzuri ya kucheza fainali kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa ni ya kwanza kutoka Tanzania kufanya hivyo. Imegotea kuwa mshindi wa pili baada ya ushindi wa jumla ya Yanga 2-2 USM Alger kuwabeba…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MENEJA Pep Guardiola ameweka wazi kuwa wamefanya mambo ya ajabu kwenye mashindano ambaye wameshiriki na kuchukua mataji muhimu jambo ambalo ni furaha kwao. Ni baada ya Manchester City kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 kwenye fainali ya Kombe la FA kwenye Uwanja wa Wembley na kutwaa taji hilo. Ni Ilkay Gundogan alianza kucheka na nyavu…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameialika timu ya Yanga kwenye hafla ya chakula cha jioni Juni 5, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo leo Juni 4 imeeleza hivyo. Taarifa hiyo imeeleza kuwa Rais ameialika Yanga kwenye hafla ya chakula cha jioni…
UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa unatarajia kufunga msimu wa 2022/23 kwa mechi tatu za jasho na damu. Kwenye mechi hizo moja itakuwa ni fainali dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Tanga. Timu hiyo kwa sasa inaendelea na maandalizi kwa mechi hizo zilizobaki ili kupata matokeo mazuri. Ofisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amesema wanatambua…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
USM Alger ya Algeria inayonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika kwa faida ya bao la ugenini dhidi ya Yanga. Ushindi wa jumla ya mabao 2-2 haujawapa fursa Yanga wawakilishi kutoka Tanzania kutwaa taji hilo. Katika mchezo wa leo Yanga imeshuhudia ubao wa Uwanja wa Juali 5 ukisoma USM…
HENOCK Inonga beki wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wameitwa kwenye timu ya Taifa ya DR Congo. Nyota hao wanakwenda kwenye majukumu mengine kupeperusha bender za timu zao za taifa. Inonga mwenye tuzo ya beki bora msimu wa 2021/22 anaitetea tena kwa msimu wa 2022/23 baada ya kuwa kwenye orodha ya mastaa wanawania tuzo…
UBAO wa Uwanja wa Julai 5 nchini Algeria unasoma USM Alger 0-1 Yanga ikiwa ni dakika 45 za kwanza. Mchezo kwa sasa ni mapumziko ambapo Yanga imepata bao la mapema katika fainali ya pili itakayoamua mshindi wa Kombe la Shirikisho Afrika. Bao la kuongoza kwa Yanga limefungwa na Djuma Shaban dakika ya 6 kwa pigo…
KIKOSI cha Yanga dhidi ya USM Alger kipo namna hii:- Diara Djigui Djuma Shaban Joyce Lomalisa Bakari Mwamnyeto Bacca Job Dickson Tuisila Kisinda Sure Boy Fiston Mayele Mudhathir Yahya Kennedy Musonda
INAELEZWA kuwa Manchester United wamefanya mazungumzo na Chelsea kuhusu kuipata saini ya kiungo Mason Mount, Sky Sports News imeambiwa. Hata hivyo hakuna ofa rasmi ambayo imetolewa kwa kiungo huyo wa Chelsea. Ikiwa makubaliano yanaweza kutekelezwa, inafikiriwa kuwa masharti ya kibinafsi hayatarajiwi kuwa tatizo. Mkataba wa Mount Chelsea unamalizika msimu ujao. Manchester United wamefanya maswali kadhaa…