CHAMA KWENYE MTIHANI YANGA, KAZI IPO

CLATOUS Chama ndani ya kikosi cha Yanga yupo kwenye mtihani wa kupambania namba kikosi cha kwanza kwa kuwa kwa sasa hajawa  chaguo la kwanza msimu wa 2024/25 baada ya kuibuka hapo akitokea kikosi cha Simba. Ipo wazi kwamba alipokuwa ndani ya kikosi cha Simba Chama alikuwa ni chaguo la kwanza kwenye eneo la kiungo tofauti…

Read More

PIGA MKWANJA KUPITIA UEFA CHAMPIONS LEAGUE LEO

Unasubiri nini? Wakati ligi ya mabingwa barani ulaya ikiwa ni fursa kwako wewe mteja wa Meridianbet utapata nafasi ya kujipigia maokoto ya kutosha, Kwani michezo hii imekua ikiwapa watu vitita vya kutosha kila inapochezwa. Michezo ambayo itapigwa leo kwenye ligi ya mabingwa ulaya itakua imepewa Odds bomba sana pale Meridianbet, Hivo kwa wale wote wanaobashiri…

Read More

FEI TOTO ANA BALAA HUYO

MKALI wa pasi za mwisho Bongo ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo ni ligi namba nne kwa ubora Afrika balaa lake sio jepesi akiwa uwanjani kutokana na kasi anayoendelea nayo kiungo Feisal Salum mali ya Azam FC. Timu hiyo kwenye msimamo ipo nafasi ya tatu baada ya kucheza mechi 18 ikiwa imekusanya jumla ya pointi…

Read More

JKT TANZANIA NA NANGU KAZI INAENDELEA

JINA lake anaitwa Wilson Nangu miongoni mwa wachezaji ambao wanavuja jasho ndani ya JKT Tanzania ambayo ipo ndani ya 10 bora. Katika eneo ambalo JKT Tanzania haijawa imara sana ni eneo la ushambuliaji ikiwa na wastani mdogo katika kucheka na nyavu baada ya mechi 18 safu ya ushambuliaji imefunga mabao 11. Eneo ambalo imekuwa imara…

Read More

MCHEZO WA MNYAMA DHIDI YA DODOMA JIJI KUPANGIWA TAREHE

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Dodoma Jiji uliotarajiwa kufanyika Uwanja wa KMC Complex Februari 15 2025 umeahirishwa hivyo utapangiwa taraehe nyingine. Dodoma Jiji ilitoka kucheza mchezo wake wa ligi dhidi ya Namungo ugenini kwenye msako wa pointi tatu ambapo walitoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2 wakigawana pointi mojamoja. Februari 10 2025…

Read More

SIMBA YAISHUSHA YANGA NAMBA MOJA

IKIWA Uwanja wa KMC Complex Simba imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni mzunguko wa pili. Ukurasa wa mabao kwa Simba ulifunguliwa na Jean Ahoua dakika ya 29 anafikisha mabao 8 ndani ya ligi na bao la pili lilifungwa na Ellie Mpanzu dakika ya 44 likiwa…

Read More

BUNGE LATAKA UKARABATI WA UWANJA WA MKAPA UKAMILIKE APRILI 2025

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeazimia mambo manne kuhusu Uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwamo kuhakikisha ukarabati wake unakamilika ifikapo Aprili, 2025. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Husna Sekiboko ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa akiwasilisha taarifa ya mwaka ya utekelezaji wa majukumu ya kamati hiyo. Sekiboko amesema serikali iandae mkakati wa kuanzisha chombo maalum cha…

Read More

BENCHIKA KUTIMKIA MODERN FUTURE YA MISRI

Baada ya kuondoka JS Kabylie Januari iliyopita, kocha wa Algeria Abdelhak Benchikha yuko mbioni kutia saini ya kuifundisha klabu ya Modern Future ya Misri inayoshiriki ligi kuu nchini humo. Benchikha, ambaye tayari amekuwa na uzoefu kadhaa nje ya nchi, hasa Tanzania,Morocco na Qatar, anaweza kujikuta akiwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo. Modern Future FC ni…

Read More

ALIYEWASUMBUA YANGA NA KUSEPA NA TUZO AFUNGUKA

MCHEZAJI bora wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Isahmuyo, Wilson Nangu amesema kuwa amefurahi kupata tuzo hiyo akiwashukuru mashabiki pamoja na wachezaji kwa kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa. Ikumbukwe kwamba baada ya dakika 90 ubao ulisoma JKT Tanzania 0-0 Yanga hivyo wababe hao waligawana pointi mojamoja ndani ya dakika 90, kipindi cha…

Read More

PLAYSON SHORT RACES KUPITIA MERIDIANBET WAJA NA PROMOSHENI YA KIBABE

Hii haijawahi kutokea kupitia Playson Short races ambao wanashirikiana na mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamekujia na promosheni ya kibabe kabisa, Kwani Shilingi Biliani tatu kushindaniwa kila siku. Playson Short races kama wasambazaji wa michezo mbalimbali kupitia michezo yao ndio unaweza kua sehemu ya washindi watakaoshindania kiasi cha  3,000,000,000 kila siku, Hivo wachezaji wa…

Read More