
YANGA WAIACHA MBALI SIMBA KWENYE MABAO NA POINTI
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Sead Ramovic wamewaacha mbali watani zao wa jadi kwenye tofauti ya pointi na idadi ya mabao ya kufunga. Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kagera Sugar, mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex Februari Mosi 2o25 Yanga imefikisha pointi 42 ikiishusha Simba nafasi…