
YANGA KAMILI KUWAVAA COPCO, BAADHI WACHEZAJI WAGONJWA
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup Yanga wapo tayari kwa mchezo wao dhidi ya Copco unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex huku baadhi ya wachezaji wakiwa hawapo fiti kwa mujibu wa benchi la ufundi la timu hiyo. Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kwa mchezo huo na wanaamini baada…