
PACOME ANA BALAA HUYO
PACOME Zouzoua kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kila mechi ni ngumu wakiwa uwanjani wanapambana kufanya vizuri kupata matokeo ndani ya uwanja nyota huyo balaa lake sio dogo kutokana na kuwa katika ubora kwenye mechi anazocheza uwanjani. Aprili 2 2025 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ulisoma Tabora United 0-3…