YANGA YAIVUTIA KASI COASTAL UNION

BAADA ya kumalizana na Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kituo kinachofuata kwa Yanga ni Coastal Union. Aprili 2 2025 ubao ulisoma Tabora United 0-3 Yanga, mabao ya Israel Mwenda kwa pigo la faulo, Clement Mzize na Prince Dube yaligota mpaka mwisho wa dakika 90. Yanga ni…

Read More

MZIZE APEWE ULINZI, KASI YAKE INAFURAHISHA

KASI ya mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize ambaye ni mzawa kwenye eneo la ushambuliaji inafurahisha kutokana na kuzidi kuwa bora kila anapokuwa ndani ya uwanja hivyo inabidi aongezewe ulinzi na waamuzi akiwa ndani ya uwanja asiumizwe kwa makusudi. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo dhidi ya Tabora United uliochezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi alikuwa ni miongoni…

Read More

KINYAGO WA SIMBA: TUTAFANYA KWELI UWANJA WA MKAPA

BAADA ya kupoteza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wa hatua ya robo fainali ya kwanza, Uwanja wa Suez Canal, Misri, shabiki wa Simba maarufu kwa jina la Kinyago wa Simba wa Tabata amebainisha kuwa wanaamini mchezo wao ujao dhidi ya Al Masry, Uwanja wa Mkapa watafanya kweli na kutinga hatua ya nusu fainali….

Read More

FOUNTAIN GATE UKUTA WAO PASUA KICHWA

NDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 kuna timu mbili ambazo ukuta wao kwenye eneo la ulinzi ni pasua kichwa kwa benchi la ufundi kutokana na kuruhusu mabao mengi uwanjani. Safu ya ulinzi namba moja ambayo imeruhusu mabao mengi ni Fountain Gate ambayo imetunguliwa jumla ya mabao 43 huku safu ya ushambuliaji ya…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA

LIGI Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika inaendelea mzunguko wa pili ambapo kuna wababe watakuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90 za kazi. Ni JKT Tanzania iliyo nafasi ya 6 kwenye msimamo baada ya mechi 23 huku safu ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 18 na ukuta kuruhusu mabao…

Read More

URAHISI WA MAISHA NI KUCHEZA BLACKJACK LIVE

Mchezo wa Blackjack Live        Watengenezaji wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse Studios, inakuletea mchezo rahisi kucheza na kushinda kupitia Meridianbet Kasino Mtandaoni, ukikutana na wachezaji wa Karata bila shaka watakutajia na huu mchezo kuwa ni pendwa Zaidi kwa wengi. Blackjack Live ni mchezo wenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwa kutumia kibunda chenye…

Read More

SIMBA HESABU ZAKE KWA MKAPA KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika wameweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wa pili wa robo fainali dhidi ya Al Masry unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ipo wazi kuwa kwenye mchezo wa robo fainali ya kwanza iliyochezwa Aprili 2 2025 Uwanja wa Suez Canal…

Read More