
CHAMA NA LUIS NA JAMBO LINGINE
MASTAA wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Robert Oliveira, Clatous Chama na Luis Miquissone wamekuja na jambo lingine katika kufunga na kutoa pasi za mabao. Simba msimu wa 2022/23 walipishana na ubingwa ambao ulikwenda kwa watani zao wa jadi Yanga. Pia hata taji la Ngao ya Jamii lilibebwa na Yanga na lile la Azam Sports…