
RATIB LIGI KUU BARA MEI 13 2025
MECHI za Ligi Kuu Tanzania Bara zinatarajiwa kuendelea ambapo ni mzunguko wa pili leo Mei 13 2025 kuna timu zitakuwa uwanjani katika msako wa pointi tatu muhimu. Wakati Mei 12 2025, ubao wa Uwanja wa Kaitaba ukisoma Kagera Sugar 0-1 Mashujaa FC, Tanzania Prisons 2-1 Coastal Union, kuna mwendelezo mwingine itakuwa leo. Ratiba ipo namna…