
ISHU YA KIPA BORA YANGA SC YAMALIZA UTATA
UONGOZI wa Yanga SC umebainisha kuwa uwepo wa Djigui Diarra ambaye ni kipa namba moja kwenye timu hiyo kunaongeza somo kwa timu nyingine kutambua namna gani mlinda mlango bora anakuwa. Diarra msimu wa 2024/25 ni namba mbili kwa makipa ambao wamekusanya hati nyingi safi, (clean sheet) akiwa nazo 15 kinara ni kipa wa Simba SC,…