
SIMBA SC 5-1 PAMBA JIJI FC, REKODI ZIPO NAMNA HII
MECHI ya Simba SC 5-1 Pamba Jiji FC iliyochezwa Uwanja wa KMC Complex ilishuhudiwa ikikusanya jumla ya mabao sita huku hat trick ikipatikana kutoka kwa kiungo mshambuliaji Jean Ahoua ambaye anafikisha mabao 15 ndani ya ligi msimu wa 2024/25. Kuna rekodi ambazo ziliandikwa Mei 8 2025 na wachezaji uwanjani kwa kila mmoja kutimiza majukumu yake…