
MKALI WA MABAO KAMILI SIMBA KUWAKABILI JKT TANZANIA
JEAN Ahoua kiungo mshambuliaji namba moja kuhusika katika mabao ndani ya kikosi cha Simba SC, mabao 12 na pasi 7 za mabao akiwa ni mkali wa mabao ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Kahusika katika jumla ya mabao 19 kati ya 54 yaliyofungwa na Simba SC iliyo nafasi ya pili na…