
MUSUKUMA AKIWASHA SAKATA LA YANGA NA SIMBA BUNGENI
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, amepongeza uongozi wa Rais mstaafu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodgar Tenga, akisema kuwa ametoa mchango mkubwa katika kuendeleza michezo nchini na kwamba ni kiongozi wa kuigwa. Akizungumza wakati wa mjadala wa bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ya Wizara…