MABOSI AZAM FC WAMPA DUBE MASHARTI MAWILI ASEPE

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa hauna taizo na mchezaji wao Prince Dube ambaye anahitaji kuondoka ni machaguo mawili anayo kuyafanya kwa sasa kuendelea na maisha yake ya soka bila tabu. Ipo wazi kwamba Dube ndani ya ligi kwa msimu wa 2023/24 kafunga jumla ya mabao saba anatajwa kuwa kwenye hesabu za kuibukia ndani…

Read More

FEI TOTO: BADO NINA NAFASI YA KUFANYA VIZURI YANGA

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefunguka kuwa bado anaiona nafasi yake katika kikosi cha timu hiyo kutokana na malengo aliyojiwekea kwamba anahitaji kufanya vizuri zaidi ya sasa ikiwa ni msimu mpya wa 2021/22 umeanza kwa kasi kubwa. Fei Toto anayefundishwa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameanza msimu huu vizuri huku akiwa kinara wa…

Read More

BEKI JOASH ONYANGO APEWE ULINZI

MZUNGUKO wa dunia unavyozidi kwenda na matukio yanaongezeka na kwenye ulimwengu wa mpira kila wakati kumekuwa kuna mabadiliko ambayo yanatokea. Ndani ya kikosi cha Simba kuna beki wa kazi Joash Onyango ambaye amekuwa akionekana kwenye uvurugaji mara nyingi jambo linalowavuruga mashabiki pamoja na viongozi kwamba asepe ama abaki. Licha ya yote hayo beki huyo anahitaji…

Read More

YANGA WAFANYA KWELI YAPIGA 5G

FUNGUO ya Yanga katika ushindi wa mabao 5-0 KMC ndani ya dakika 90 ilianzia kwa Aziz KI kiungo aliyecheza kwa umakini mkubwa. Yanga inewatungua mabao hayo ilikuwa dakika ya 16 kupitia kwa beki Dickson Job aliyetupia bao lake la Kwanza msimu wa 2013/24. Aziz KI wa Yanga alitupia bao moja dakika ya 59, Konkoni ilikuwa…

Read More

YANGA YAFUNGUKIA OFA YA MAYELE

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa umepokea ofa nyingi ambazo zinahitaji huduma ya nyota Fiston Mayele. Mayele wa Yanga mkononi ana tuzo ya ufungaji bora wa ligi baada ya kufunga mabao 17 pia katika Kombe la Shirikisho Afrika ni namba moja kwa utupiaji akiwa na mabao 7. Ana hat trick moja kwenye ligi aliwatungua Singida…

Read More

NYOTA SIMON MSUVA KAANZA KAZI NA TIMU YAKE MPYA

NYOTA  Simon Msuva hatimaye ameanza kazi kwenye timu yake mpya baada ya kuachana na timu yake ya zamani. Ni Simon Msuva ambaye ni kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ameanza rasmi mazoezi na timu yake ya mpya ya Al Najmah ya Saudi Arabia. Kiungo huyo aliyekuwa anatajwa kurejea Yanga amesajiliwa kwenye…

Read More

KIUNGO SAKHO HANA PRESHA KUHUSU YANGA

WINGA wa kimataifa wa Senegal anayecheza Simba, Pape Ousmane Sakho, amesema wala hana presha kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga, huku akibainisha kwamba, anauchukulia mchezo huo kama mingine aliyowahi kucheza. Sakho ambaye amejiunga na Simba mwanzoni mwa msimu huu, amekuwa moja ya wachezaji bora ndani ya kikosi hicho kutokana na kiwango alichokionesha…

Read More

WASHIKA BUNDUKI ARSENAL WAPEWA UBINGWA EPL

BEKI wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amesema Arsenal ndiyo timu pekee inayoweza kutoa ushindani kwa Manchester City katika kuwania ubingwa wa Premier League msimu huu. Kauli ya Muingereza huyo imekuja kufuatia Liverpool kushindwa kuifunga Manchester Utd katika mchezo wa Premier uliochezwa Anfield, juzi Jumapili. Arsenal wamerejea kileleni mwa msimamo wa Premier, baada ya…

Read More

IHEFU WAIVUNJA REKODI YA YANGA KWENYE LIGI

 WAKULIMA kutoka Mbeya, Ihefu FC wamevunja mwiko wa Yanga kuendelea kucheza mechi za ligi bila kufungwa baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1. Wakiwa Uwanja wa Highland Estate, Ihefu walianza kutunguliwa bao kipindi cha kwanza kupitia kwa kiraka Yanick Bangala dakika ya 8. Ni Nivere Tigere aliweka usawa dakika ya 38 na kuwafanya waende mapumziko…

Read More

TAIFA STARS WAANZA KAZI KAMBINI

BAADA ya kuripoti kambini nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wameanza rasmi mazoezi kwa ajili ya kuwa fiti kwa mechi za ushindani. Ni Novemba 11 rasmi walianza mazoezi hayo ikiwa ni kuelekea kwenye mechi mbili ngumu na zitakazokuwa na ushindani mkubwa. Hizo ni kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu Kombe la…

Read More

SIMBA YAMTANGAZA FADLU DAVIDS KUWA KOCHA MPYA

Klabu ya Simba Sc imemtangaza Fadlu Davids (43) kuwa kocha wao mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Abdelhak Benchikha aliyeondoka kabla ya kumalizika kwa msimu uliopita . Msimu uliopita kocha huyo alihudumu kwenye kikosi cha Raja Casablanca kama kocha msaidizi chini ya kocha mkuu Josef Zinnbauer Raia wa Germany,huku wakiisaidia timu hiyo kutwaa ubingwa wa…

Read More

KAZI NZITO LEO HAPA LIVERPOOL PALE ARSENAL

Mtoto hatumwi dukani ndio unavyoweza kusema kuelekea mtanange mkali kati ya vilabu viwili venye ubora mkubwa kwasasa klabu ya Liverpool ambao watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Arsenal. Mchezo huu mkali wa kufungia mwaka utapigwa pale katika dimba la Anfield ambapo utaweza kutoa fursa pia kwa wateja wa Meridianbet kuchota maokoto, Kwani mchezo huu kati ya…

Read More