
MKIA UMALIZWE, WACHEZAJI WANALIA NA MENGI
MACHOZI ya wachezaji uwanjani yafutwe kwa vitendo na sio maneno yale ya kuwapa moyo kwamba haya yatapita. Kwenye mechi nyingi wanazocheza wapo wale wanaoumia kutokana na matokeo wengine hawajali. Ipo wazi kwamba katika dakika 90 za kutafuta matokeo yapo mengi ambayo yanatokea.Kikubwa ni viongozi kuangalia kipi kinachofanyika baada ya mchezo. Mashuhuda kwenye mchezo wa Kariakoo…