HII HAPA SIRI YA GAMONDI KUMTUNGUA OLIVEIRA ALIYEFUTWA KAZI
MARA baada ya kupata ushindi wa mabao 5-1, Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, ameibuka na kutaja siri tatu ya ushindi huo kwa timu yake. Timu hizo zilivaana juzi Jumapili katika mchezo wa Kariakoo Dabi uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam ukiwa ni wa Ligi Kuu Bara. Gamondi alianza kwa kuwapongeza wachezaji wake…