
MAANDALIZI MAKINI YANAHITAJIKA KUPATA MATOKEO KWA MKAPA
KIKUBWA ambacho kinatakiwa kwa wachezaji kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi ni kulindana ndani ya dakika zote 90. Presha ni kubwa kwa kila upande hilo lipo wazi ila kuna ulazima wa kila mmoja kuwa makini kwenye mchezo ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa. Mchezo wa Simba na Yanga kila Mtanzania anapenda kuona burudani. Kuonyesha ubora wa ligi…