
FEI TOTO MWAMBA ANA BALAA HUYO, AINGA ANGA ZA BALEKE, AZIZ KI
MWAMBA Feisal Salum, (Fei Toto) mali ya Azam FC ana balaa huyo ndani ya uwanja kutokana na kasi yake kutozuilika kwenye mechi mbili ambazo ni dakika 180 ugenini. Kiungo huyo ambaye ni ingizo jipya kutoka Yanga kibindoni katupia mabao matano akitoa pasi mbili za mabao zinazomfanya ahusike kwenye mabao saba kati ya 19 yaliyofungwa na…