KIVUMBI LIGI DARAJA TATU PWANI KINAKUJA

KIVUMBI cha Ligi daraja la tatu kwa mkoa wa Pwani kinatarajiwa kuanza Novemba 4 2023 katika makundi mawili tofauti ambapo jumla ya timu 14 zitashiriki. Ligi hiyo ya Daraja la tatu ngazi ya mkoa inasimamiwa na Chama Cha Soka mkoa wa Pwani (COREFA) ambapo itachezwa kwa mfumo wa Kanda katika mkoa ikiwepo Kanda ya Kusini…

Read More

KOCHA YANGA AWASOMEA RAMANI SIMBA DAKIKA 180

NI Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amewasoma  wapinzani wao Simba kwa muda wa dakika 180 baada ya kuwachambua wapinzani wake. Novemba 5 Yanga wanatarajiwa kuwa wageni wa Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi, Uwanja wa Mkapa. Yanga imekusanya pointi 18 baada ya kucheza mechi saba huku Simba pia wakiwa na pointi 18 baada ya…

Read More

KUPIGANA UWANJANI NI USHAMBA, MUDA WAKE UMEISHA

JUMA lililopita kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Ihefu FC kuna kipande cha video kilisambaa kikionyesha kundi la mashabiki wa Simba wakimshushia kichapo shabiki aliyefahamika kuwa ni wa Yanga kutokana na rangi ya mavazi yake. Vitendo hivi kuna nyakati vilishamiri na tulipaza sauti vikapotea lakini hivi sasa vinaonekana kurejea tena kwa…

Read More

KI KAWAPOTEZA WENGINE NDANI YA YANGA

KWENYE msako wa kuwania tuzo ya mchezaji bora ndani ya kikosi cha Yanga Oktoba ni Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo hiyo. Kiungo huyo raia wa Burkina Faso alikuwa akiwania tuzo hiyo na nyota wengine wawili aliongia nao fainali. Ni beki wa kazi Dickson Job na Max Nzengeli ambao walichaguliwa kuwania tuzo hiyo. Aziz Ki atazawadiwa…

Read More

KIVUMBI CHA LIGI KUU BARA KIPO HIVI

KIVUMBI cha Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 kinaendelea ikiwa ni wiki ya 8 kwa timu kushuka uwanjani kusaka ushindi ndani ya dakika 90. Singida Fountain Gate leo watakuwa nyumbani baada ya kutoka kucheza mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa. Watamenyana na Ihefu kwenye mchezo wa leo Novemba Mosi Uwanja wa…

Read More

MTAMBO WA MABAO YANGA WATUMA SALAMU MSIMBAZI

MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga, Maxi Nzengeli amesema kuwa wapo tayari kuelekea mchezo wao wa Karikoo Dabi dhidi ya Simba huku akiwaomba mashabiki wajitokeze kuona burudani. Ndani ya kikosi cha Yanga Nzengeli ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Miguel Gamondi akiwa kakomba dakika 489. Katupia mabao matano na pasi moja ya…

Read More

KARIAKOO DABI IWE YENYE NIDHAMU NA UBORA

KARIAKOO Dabi ipo karibu ambapo kila timu kwa sasa inafanya maandalizi kupata matokeo mazuri. Kikubwa ambacho kinatakiwa ni umakini kwenye kila hatua. Maandalizi mazuri kwa kila timu kwa sasa ni jambo ambalo linahitajika ili kupata matokeo mazuri. Mashabiki wanapenda kuona timu yao inashinda hilo lipo wazi. Si wao tu hata wachezaji furaha yao ni kupata…

Read More

LUIS BADO ANAENDELEA KUJITAFUTA

TAYARI ameanza kurejea katika hesabu za rekodi lakini maamuzi bado anajitafuta kufikia ubora wake wa 2021 aliposepa ndani ya kikosi hicho na kujiunga na Al Ahly ya Misri. Kukaa muda mrefu bila kucheza ni sababu iliyofanya kiwango chake kikaporomoko kwa kasi. Yule Luis Miquissone mwenye kasi ya haraka na maamuzi akiwa nje ama ndani ya…

Read More

CHIZIKA NA SLOTI CRAZY TIME KUPITIA MERIDIANBET

Sloti ya Crazy Time Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na watengenezaji mahiri wa michezo ya kasino za mitandaoni – Evolution Gaming, wanakuletea mchezo wa kijanja uitwao Crazy Time. Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu umejengwa na dhamira ya kukamilisha ndoto ambazo hudakwa…

Read More

SIMBA: TUTADHIHIRISHA UKUBWA WETU MBELE YA YANGA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utadhihirisha ukubwa wao kwa kupata ushindi kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni Kariakoo Dabi inayotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 kwa timu zote kuwania kupata pointi tatu muhimu. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally…

Read More

MANCHESTER UNITED YA ONANA HAIJAONANA

WIKI ya 10 ndani ya Premier League, Manchester United wamechapwa kwenye Dabi na kupoteza pointi tatu dhidi ya Manchester City. Nyumbani walikuwa Uwanja wa Old Trafford walishuhudia ubao ukisoma Manchester United 0-3 Manchester City. Mwamba Erling Haaland alitupia mabao mawili dakika ya 26 na 49 huku Phil Foden akitupia bao moja usiku dakika ya 80….

Read More

MUHIMU KUWA NA MAANDALIZI BORA KILA WAKATI

MWENDELZO mzuri unahitajika kwa wachezaji wote katika mechi ambazo wanacheza. Hali bado haijawa nzuri kwa baadhi ya wachezaji kufikiria mpira ni matumizi ya nguvu kubwa mwanzo mwisho. Ipo wazi kuwa mpira wa mchezo huwezi kuacha kutumia nguvu lakini ni muhimu kuwa makini. Kwenye msako wa pointi tatu ila ni muhimu kuwa makini katika kutimiza majukumu….

Read More