
BOSI SIMBA ATUPA KOMBORA YANGA SC
MARA baada ya kuondolewa na Al Ahly ya nchini Misri katika michuano ya African Football League (AFL), Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kuwa sasa hivi akili zao wanazielekeza katika Ligi Kuu Bara na kikubwa kurejea kileleni. Kauli hiyo huenda ikawa kijembe kwa wapinzani wao, Yanga ambao wanaongoza ligi wakiwa na…