
HAPA NDIPO TATIZO LA SIMBA KUONDOLEWA NA AL AHLY
BAADA ya Simba kugotea hatua ya robo fainali African Football League, mkongwe kwenye masuala ya uandishi wa habari za kimicheza Jembe ametaja sababu ya timu hiyo kukwama kusonga mbele. Jembe ameanza kwa kuuliza namna hii:-Unataka uilamu Simba kwa sare ya 1-1 Vs Al Ahly hapa Cairo? Ahly umeisahau? Huujui ukubwa wake? Leo mashabiki wake kwenye…