
MZIZIMA DABI, ATAKAYEMFUNGA PAKA KENGELE KUJULIKANA
MZIZIMA Dabi Yanga dhidi ya Azam FC ipo jikoni inapikwa kwa sasa kabla ya kuwekwa mezani kwa wababe hao kuanza msako wa pointi tatu ndani ya Uwanja wa Mkapa. Oktoba 23, 2023 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa huku shauku ikiwa ni nani atakayeibuka mbabe kwa kumfunga paka kengele ndani ya dakika 90. Hapa tunakuletea namna timu…