HESABU ZA KIMATAIFA ZA YANGA NOMA

 UONGOZI wa kikosi cha Yanga, umeweka wazi kuwa wamejiwekea malengo makubwa ya kuhakikisha msimu ujao, angalau wanacheza hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.   Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union umewafanya Yanga rasmi kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa ligi na kuandika rekodi ya kushinda ubingwa huo kwa mara ya 28….

Read More

SIMBA MPYA KUIKABILI AL AHLY KWA MKAPA

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa wanatambua ugumu uliopo kwenye mashindano wanayocheza lakini wapo tayari kuona kwamba wanashinda mchezo huo ambao ni muhimu kwao. Simba inapeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa hatua ya makundi ambapo kuna timu mbili kutoka Tanzania. Yanga wao watakuwa na…

Read More

FT: Morocco 2-0 Comoros, AFCON 2025

Morocco 2-0 Comoros ni matokeo ya mchezo wa ufunguzi AFCON 2025, nchini Morocco huku wenyeji wakipata ushindi katika kipindi cha pili. Magoli ya Morocco yamefungwa na Brahim Diaz kwa pasi ya N.Mazraoui dakika ya 55 na El Kaabi kwa pasi ya Salah-Eddine dakika ya 74, mchezo uliochezwa Uwanja wa Prince Moulay Abdallah. Ikumbukwe kwamba Brahim…

Read More

SIMBA NA MATUMAINI KIBAO KWA WACHEZAJI WAO

LICHA ya wachezaji wa Simba kutokuwa kwenye mwendo mzuri katika mechi za Ngao ya Jamii ungozi wa Simba umebainisha kwamba watakuwa bora katika mechi za ushindani kwa kuwa kuna vitu vidogo wamekosa vitafanyiwa kazi. Timu hiyo iliweka kambi Misri imepishana na taji la Ngao ya Jamii ikigotea nafasi ya tatu huku nafasi ya nne ikiwa…

Read More

FT: AL AHL 1-1 SIMBA

 WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano mapya ya African Football League safari yao imegota mwisho baada ya kuondolewa na Al Ahly waliopata faida ya kuwa na mabao mengi ugenini. Mchezo wa robo fainai ya pili ambao umechezwa nchini Misri, Oktoba 24 ubao umesoma Al Ahly 1-1 Simba. Bao la Simba limefungwa na Sadio Kanoute dakika ya…

Read More

YANGA YAKOMBA POINTI ZOTE ZA KMC

HUKU kikosi cha Yanga kikiwa na nyota kadhaa ambao hawakuanza kikosi cha kwanza mchezo wa kimataifa dhidi ya TP Mazembe wamesepa na pointi tatu zote za KMC. Kazi kubwa imemalizwa ndani ya dakika 40 za mwanzo ambapo bao lilipachikwa na Clement Mzize dakika ya 38 na kuipa pointi tatu Yanga. Uimara wa ukuta wa timu…

Read More

ISHU YA JONAS MKUDE KUONDOKA KAMBINI YANGA IPO HIVI

WAKATI tetesi zikieleza kuwa kiungo mkabaji ingizo jipya ndani ya Yanga Jonas Mkude amesepa kambini AVIC habari za kuamini zimebainisha kuwa nyota huyo yupo kambini. Ikumbukwe kwamba Mkude ni ingizo jipya ndani ya Yanga aliibuka hapo akiwa mchezaji huru baada ya kukutana na Thank You kutoka kwa mabosi wake wa zamani Simba. Aliibuka hapo akiwa…

Read More

MZAMIRU YASSIN NI HABARI NYINGINE

KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba, Mzamiru Yassin ni habari nyingine eneo la kati kutokana na kuimarika kwenye kila mchezo ambao ataanza. Nyota huyo kwenye mchezo dhidi ya Singida Big Stars alikuwa na majukumu matatu, kupoka mipira kwa wapinzani, kulinda na kupeleka mashambulizi kwenye lango la wapinzani. Asilimia 80 ya mipira aliyokuwa…

Read More

KOCHA NABI AKUBALI UWEZO WA NYOTA WAKE

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa viwango vya wachezaji wake ambavyo wameonyesha kwenye mechi mbili amevutiwa navyo na anahitaji waweze kuongeza zaidi. Katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Yanga iliweza kushinda mabao 2-1 dhidi ya Simba na iliweza kushinda pia mabao 2-1 mbele ya Polisi Tanzania ilikuwa kwenye mchezo wa ligi. Mabao…

Read More