YANGA WAVAMIA ALGERIA LIGI YA MABINGWA
MABOSI wa Yanga, juzi walisafiri kuelekea nchini Algeria, kwa ajili ya kuwaangalia wapinzani wao CR Belouizdad waliongozana na mchambuzi wa video, Khalil Ben Youssef. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana Novemba 24, mwaka huu katika mchezo wa Kundi D wa Ligi ya Mabingwa Afrika, utakaopigwa nchini Algeria. Yanga imepania kufanya vema katika michuano hiyo ya kimataifa msimu…