
JEZI 6 ZA MESSI WC 2022 KUUZWA MABILIONI YA PESA. CHEZA KASINO USHINDE KIRAHISI
Nyota wa Soka Lionel Messi huenda akaongeza rekodi nyingine kwenye maisha yake baada ya kutanganzwa kwa mnada wa seti ya jezi sita alizotumia kwenye Kombe la Dunia mwaka 2022 huko Qatar, ambao kwa mujibu wa Sotheby utafunguliwa November 30, 2023 hadi December 14 Jijini Newyork-Marekani. Ni muda wa kutengeneza pesa ukiwa na Meridianbet, suka jamvi…