
KAZI KUBWA INAHITAJIKA KUFANYIKA KWA TANZANIA
IPO wazi kwamba mashindano makubwa Afrika ambayo ni Kombe la Mabingwa Afrika, (AFCON) yanazidi kushika kasi na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kazi ya kusaka ushindi ikiwa kundi F. Kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya timu ya taifa ya Morocco ilipoteza Januari 17 kwa kushuhudia ubao ukisoma Morocco 3-0 Tanzania hivyo bado kuna…