
SIMBA:HAPA KAZI TU
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba wao kipaumbele chao namba moja ni kazi tu uwanjani ili kupata matokeo chanya na hawana muda wa kushindana na wale wanaoongeaongea. Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu amesema kuwa wapo kwenye ligi kwa malengo makubwa ya kuweza kutetea ubingwa waliotwaa msimu uliopita na hilo linawezekana. “Sisi hapa kwetu ni kazi…