YANGA KUWEKA KAMBI SHINYANGA KWA AJILI YA SIMBA

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wenye pointi 64 wanatarajiwa kuweka kambi mkoani Shinyanga kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba. Huu ni mchezo wa hatua ya nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho ambapo mabingwa watetezi ni Simba walitwaa taji hilo walipocheza fainali na Yanga, Uwanja wa Lake…

Read More

SABABU ZA MATOLA KUCHELEWA KUSOMA

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa sababu kubwa ya yeye kuchelewa kusoma kozi ya ukocha Leseni A ya CAF anayoisomea kwa sasa ni upatikanaji wa nafasi hizo. Matola kwa sasa yupo masomoni akiendeleza ujuzi wake wa masuala ya ufundishaji ambapo gharama za malipo zinasimamiwa na waajiri wake Simba. Kocha huyo amesema:”Hizi kozi huwa…

Read More

YANGA YAITUNGUA REAL BAMAKO KIMATAIFA

BAADA ya Fiston Mayele kupachika bao la kuongoza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi msumari mwingine umejaa kimiani. Ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 2-0 Real Bamako ikiwa ni mchezo wa kimataifa. Mayele alianza kupachika bao dakika ya 8 akiwa ndani ya 18 lilidumu mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza….

Read More

SIMBA WATAJA SIKU YA KUMTANGAZA KOCHA MPYA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unatarajia kumaliza mchakato wa kupitia maombi na kumchagua kocha mpya wa kikosi hicho katika kipindi cha wiki mbili ambazo ni sawa na siku 14. Simba Mei 31, mwaka huu walitangaza rasmi kufikia makubaliano ya kuachana na kocha wao, Pablo Franco na kocha wa viungo, Daniel Castro, kwa kile kilichoelezwa…

Read More

SIMBA YAFUNGUKIA USAJILI WA KI AZIZ

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba suala la mchezaji wa ASEC Mimosas Aziz KI kuweza kusajiliwa na timu hiyo litafanyiwa kazi ikiwa kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo. Imekuwa ikitajwa kwamba mshambuliaji huyo ambaye aliweza kumtungua kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula nje ndani yupo kwenye rada za mabingwa hao watetezi. Pia habari zilikuwa…

Read More

AZAM FC NA COASTAL UNION ZAPIGANA MKWARA

KUELEKEA kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya matajiri wa Dar, Azam FC dhidi ya Wagosi wa Kaya, kutoka Tanga, Coastal Union maofisa habari wa timu zote mbili wamepigana mikwarakwa kubainisha kuwa wote wanahitaji ushindi. Kwenye mchezo wa leo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar mshindi atakutana na Yanga…

Read More

SIMBA V AL AHLY, HISTORIA NYINGINE INAKWENDA KUANDIKWA

HISTORIA inakwenda kuandikwa kwa Simba kuwa wafunguzi wa African Football League ambapo leo Oktoba 20, 2023 mchezo wa ufunguzi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira Simba itakuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Al Ahly kutoka Misri ambao nao pia wanahitaji ushindi kwenye mchezo wa leo. Ahmed…

Read More

ROBERTINHO AIMALIZA YANGA KIKUBWA

WAKIJIANDAA na mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Robert Olivieira ‘Robertinho’ amechimba mkwara mzito kuwa wametumia uzito wa michezo yao miwili ya AFL, dhidi ya Al Ahly kujiandaa na uzito wa mchezo wa Jumapili huku akitenga siku tano sawa na saa 120 kujiandaa na mchezo huo. Kikosi cha…

Read More

DROO YA CHAN KUFANYIKA KENYA JANUARI 15, 2025

Shirikisho la soka Afrika (CAF) limetangaza kuwa droo ya michuano ya CHAN 2024 itafanyika nchini Kenya, huku kukiwa na shaka juu ya uenyeji wa michuano hiyo nchini humo. Michuano hiyo inayozikutanisha timu za taifa kwa upande wa wachezaji wanaocheza ligi za ndani, imepangwa kufanyika kuanzia tarehe 1 hadi 28 Februari 2025 katika nchi za Kenya,…

Read More

TUWEKEZE NGUVU KUBWA SOKA LA WANAWAKE

PONGEZI kubwa kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 17, Serengeti Girls kwa kuweza kutanguliza mguu mmoja hatua ya kufuzu Kombe la Dunia. Ushindi walioupata nchini Cameroon una maana kubwa hivyo ni zamu yao kuweza kuendeleza ule mwendo ambao wameanza nao bila kuchoka. Tuna amini kwamba mchezo wa marudio utatoa picha…

Read More

M BET KUWAPA ZAWADI WASHINDI WA SANYASANYA SIMU NA TV

KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya M-Bet Tanzania imezindua kampeni mpya ijulikanayo kwa jina la Sanya Sanya na M-Bet ambayo ina mwezesha mshindi kushinda fedha taslimu, simu ya mkononi na televisheni ya kisasa (Smart TV). Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, Mkurugenzi wa Masoko wa M-Bet Tanzania, Allen Mushi amesema lengo la kuanzisha  kampeni…

Read More

HAJI MANARA AWAIBUA WAZAWA WA KAZI CHAFU

HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapo wazawa wengi ambao wanafanya vizuri ndani ya kikosi cha Yanga ikiwa ni pamoja na Dickson Job, Kibwana Shomari pamoja na Feisal Salum. Nyota hao kwa sasa wana uhakika wa namba kikosi cha kwanza ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu, Nasredddine Nabi  huku nahodha akiwa ni mzawa pia…

Read More