Bashiri na Meridianbet Mechi za Leo

Wikendi inaanza Ijumaa ye leo ambapo ligi mbalimbali zinatarajiwa kupigwa kuanzia kule Ujerumani mpaka Italia huku meridianbet wakikupa nafasi kubwa za kupiga maokoto ukisuka jamvi lako na kubashiri nao. Ingia sasa meridianbet ushinde pesa. Leo SERIE A saa 1:30 kutakuwa na mtanange mzito kabisa kati ya Genoa dhidi ya Lazio ambaye yupo nafasi ya 7…

Read More

RODRYGO ARIPOTIWA KUWAVUTIA MANCHESTER CITY

Rodrygo anaripotiwa kuwavutia Manchester City baada ya kucheza vizuri na kuwa sehemu muhimu katika mafanikio ya Real Madrid msimu huu, akifunga mabao 17 katika michuano yote aliyocheza msimu wa 2023/24 na kutoa pasi tisa za mabao. City wanathamini uwepo wa Rodrygo katika klabu Madrid, baada ya kumuona kuwa ni mtu anayehitajika kwenye timu lakini Ujio…

Read More

NAMBA ZAKO ZA BAHATI ZINAWEZA KUBADILISHA KILA KITU LEO KWENYE KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET

Keno ni moja ya mchezo ambao umejizolea umaarufu zaidi kwa urahisi wake na kuwatoa kimaso maso washindi. Nyumba ya mabingwa, Meridianbet, inakupa fursa ya ushindi na Keno. Bahati Nasibu ya Keno Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Keno ni mchezo wa namba ambao mchezaji anachagua namba 10 kutoka kwenye…

Read More

PABLO FRANCO KUKUTANA NA MABOSI SIMBA

PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba anatarajiwa kukutana leo na uongozi wa Simba ili kuweza kuzungumza kuhusu mwendo wake ndani ya kikosi hicho. Kocha huyo baada ya kurithi mikoba ya Didier Gomes malengo yote ambayo alikabidhiwa na timu yameyeyuka jumlajumla jambo linalofanya nafasi yake kuwa kwenye wakati mgumu. Moja ya malengo ilikuwa ni kutetea mataji yaliyokuwa…

Read More

MIPANGO INASUKWA UPYA YANGA KUIMALIZA AL HILAL

MPAGO mpya unasukwa na Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi kuelekea mchezo wa kimataifa dhidi ya Al Hilal unaotarajiwa kuchezwa ugenini wikendi hii. Ni kwenye mapigo ya mipira iliyokufa ambayo wamekuwa wakiipata kwa kuwataka wapigaji kutulia huku wao wakipunguza makosa wakiwa karibu na eneo lao la hatari. Bernard Morrison na Aziz KI wamekuwa wakipewa majukumu…

Read More

KIVUMBI NA JASHO LEO FAINALI U 20

KIVUMBI kinatarajiwa kutimka leo Julai 2 kwa mchezo wa fainali ya Ligi ya Vijana U 20 kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Geita Gold. Mtibwa Sugar walifanikiwa kuingia fainali baada ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Mtibwa Sugar 2-1 Azam FC huku Geita Gold wao ubao ulisoma Kagera Sugar 0-2 Geita Gold. Kocha…

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA VIPERS YA UGANDA

SIMBA leo ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Vipers ya Uganda mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Kikosi cha Simba ambacho kitaanza leo kipo namna hii:-Aishi Manula ameanza langoni, Shomari Kapombe, Henock Inonga, Joash Onyango na Mohamed Hussein katika ukuta. Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute katika viungo wakabaji na Kibu Dennis, Ntibanzokiza na Clatous…

Read More

AUBA KAZI HAKUNA TENA

IMERIPOTIWA kuwa Chelsea wapo kwenye mpango wa kuvunja mkataba na staa wao Pierre Emerick Aubameyang mwishoni mwa msimu huu. Auba amekuwa hana nafasi kikosi cha kwanza ndani ya Chlesea chini ya Kocha Mkuu, Graham Potter. Tangu ametua hapo msimu huu mambo yanaonekana kuwa magumu kwa staa huyo. Ilikuwa dakikasaba tu alitumia nyota huyo kwenye mchezo…

Read More

NAMUNGO YAIBANA MBAVU SIMBA

KIKOSI cha Namungo leo Mei 3,2022 kimeibana mbavu Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kwa kupata sare ya kufungana mabao 2-2. Ngoma imechezwa Uwanja wa Ilulu ambapo Namungo walianza kwa kasi kubwa kusaka ushindi na waliwatangulia Simba. Ilikuwa dk ya 7 kupitia kwa Jacob Masawe aliyepachika bao hilo kwa kichwa kisha likawekwa usawa na…

Read More

MECHI ZA NYUMBANI ANGA ZA KIMATAIFA HESABU MUHIMU

MECHI za nyumbani kwenye anga za kimataifa zina umuhimu mkubwa kwa wawakilishi kimataifa kupata ushindi kuzidi kujiongezea hali ya kupata nafasi kutoka kwenye hatua ambayo wapo. Hatua ya makundi ni kituo kinachowasafirisha wawakilishi mpaka hatua ya robo fainali ambayo inaongeza thamani kwa wachezaji pamoja na timu kuzidi kuwa bora. Ushindi kwenye mechi za nyumbani ni…

Read More