Home Sports YANGA; MAMELODI WANAKUFA PALE KWA MKAPA

YANGA; MAMELODI WANAKUFA PALE KWA MKAPA

KUELEKEA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa unakweda kupata matokeo chanya mbele ya wapinzani wao hatua ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali

Previous articleSIMBA YAPIGA HESABU KUANDIKA HISRORIA CAF
Next articleAZAM FC YAPETA MBELE YA ZIMAMOTO