
MSHAMBULIAJI WA MABAO MLANGONI YANGA SC
JONATHAN Sowah mshambuliaji wa Singida Black Stars anatajwa kuwa kwenye mpango wa kutakiwa na Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Sowah alimpa tabu kipa namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra kwenye mchezo wa ligi walipokutana Uwanja wa KMC Complex kwa kumtungua bao moja. Kwenye mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma…