
YANGA SC YAGOMEA KIKAO, WANATAKA HELA YA UBINGWA TU
CLIFORD Ndimbo, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) amesema kuwa Yanga SC wamegoma kuongea na kuacha barua licha ya kuitwa na Katibu Mkuu Wilfred Kidao. Juni 10 2025 TFF walitoa taarifa kuhusu ufafanuzi wa fedha za malipo ya zawadi ya bingwa wa CRDB Federation Cup ambazo Yanga SC walibainisha kuwa hawajapewa na katika…