
FA: SIMBA KUPUNGUZA MAJUKUMU, UBINGWA INAWEZEKANA
NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu kama FA ambaye alikuwa ni mgeni rasmi kwenye Jambo Kubwa Kuliko East and Central Africa Aprili 16 2025 amesema kuwa ikiwa yaliyosemwa yatakuwa kwenye utekelezaji yataleta matokeo mazuri na kupunguza matumizi kwenye baadhi ya masuala ya viwanja. Mwinjuma amesema kuwa anaamini Simba SC ina nafasi…